Ukurasa wa Pili
Je, Twaweza Kuokoa Ndoa Yetu 3-14
Je, ndoa isiyo na upendo ndiyo njia pekee badala ya talaka? Mume na mke ambao upendo wao umepoa, wanaweza kuokoaje ndoa yao?
Fumbo la Nan Madol 16
Ni nani walioujenga mzingile huu wenye kustaajabisha sana wa vijisiwa? Ni nini kilichofanya uhamwe?
Kutoka Kifo cha Polepole Hadi Maisha Yenye Furaha 20
Diamánti ameishi na maradhi ya beta-thalassemia kwa zaidi ya miongo mitatu. Maradhi hayo ni yapi, na amekabilianaje nayo?