Ukurasa wa Pili
Je, Sherehe Zinazopendwa Zina Hatari Zilizofichika? 3-10
Sherehe nyingi zinazopendwa zinategemea ushirikina. Sherehe hizo zaweza kuwa na hatari zipi?
Fahari Iliyosahaulika ya Milki ya Byzantium 12
Milki hiyo ya kale imekuwa na matokeo gani ya kudumu kwa maisha yetu leo?
Mungu Ni Mvumilivu Kadiri Gani? 22
Kwa nini Mungu ameruhusu uovu?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
JALADA: Picha ya kulia: AP Photo/Edward Wray
AFP/Pascal Guyot