Ukurasa wa Pili
Je, Tutazama Katika Takataka? 3-11
Kuna takataka nyingi duniani leo kuliko wakati mwingine wowote, nazo husababisha matatizo makubwa katika mazingira. Ni mitazamo gani ambayo imechangia uharibifu huo mkubwa wa mali, nasi tunawezaje kuepuka kuwa na mitazamo hiyo?
Aksidenti za Magari —Je, U Salama? 12
Jifunze jinsi ya kuepuka visababishi viwili vya misiba ya kawaida barabarani.
Je, Nifanyiwe Upasuaji wa Kubadili Sura? 18
Vijana wengi hufanyiwa upasuaji wa kubadili sura ili wawe wenye kuvutia zaidi. Je, kuna hatari yoyote kufanya hivyo?