Ukurasa wa Pili
Je, Kuombea Amani Kwaweza Kumaliza Ugaidi? 3-9
Mapema mwaka huu, viongozi wengi wa dini za ulimwengu walikutana huko Assisi, Italia, ili kuombea amani. Je, maombi ya viongozi hao yatakomesha vita na ugaidi unaotisha amani ya ulimwengu?
Vyombo vya Angani Vyenye Kusisimua 10
Jifunze kuhusu wakati vyombo hivyo vilipokuwa maarufu na kwa nini vilitoweka ghafula.
Je, Ninahitaji Simu ya Mkononi? 18
Kifaa hicho cha mkononi kinaleta hasara pia. Simu za mkononi zawezaje kutumiwa kwa usawaziko?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
U.S. National Archives photo