Ukurasa wa Pili
Je, Sayansi Imevuka Mipaka kwa Kutumia Chembe za Msingi? 3-10
Maendeleo katika utafiti wa chembe za msingi umewafanya watu wengine watumaini kwamba magonjwa mengi yatatibiwa. Lakini si kila mtu anayefurahia jambo hilo. Kwa nini chembe za msingi zinaleta mzozo mkali?
Je, Vijana Wenzako Wanaweza Kukuathiri Sana? 11
Mtu anaweza kuathiriwa na marika bila yeye kujua—na ni hatari sana. Kwa nini?
Upendo Waonyeshwa Kupitia Kazi Kubwa ya Kutoa Msaada 19
Soma kuhusu kazi kubwa sana ya kutoa msaada iliyofanywa huko Texas, Marekani, baada ya dhoruba kali sana.
[Picha katika ukurasa wa 2]
Chembe za msingi za kiinitete zinavyoonekana kwa hadubini
[Hisani]
© Juergen Berger, Max-Planck Institute/Photo Researchers, Inc.