Yaliyomo
Juni 22, 2003
Ni Nani Atakayeokoa Misitu ya Mvua?
Misitu ya mvua duniani inatoweka kasi. Lakini kwa nini unapaswa kuhangaikia jambo hilo? Na ni hatua gani inayoweza kuchukuliwa?
3 Misitu ya Mvua Je, Inaweza Kuokolewa?
5 Misitu ya Mvua Je, Tunaweza Kuitumia Bila Kuiharibu?
10 Ni Nani Atakayeokoa Misitu ya Mvua?
15 Ndege Maridadi Mwenye Madoa Yanayofanana na Macho
23 Madrid Jiji Kuu Lililojengwa kwa Ajili ya Mfalme
32 Je, Wanadamu Wataiangamiza Dunia Yetu Maridadi?
Misiba ya ghafula inaweza kuwafanya vijana wajiulize baadhi ya maswali muhimu sana maishani. Katika habari hii utapata majibu ya haraka na yenye kufariji.
Jinsi Mahitaji Yangu ya Kiroho Yalivyotoshelezwa 18
Soma simulizi la mtawa mmoja wa kike aliyekuwa na uhitaji wa kiroho kabla hajajifunza kweli za Biblia ambazo zilibadili maisha yake.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
COVER: © 2000 FRANS LANTING; forest fire: Philip M. Fearnside