Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 11/08 kur. 22-31
  • Ungejibuje?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ungejibuje?
  • Amkeni!—2008
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • Kuna Kasoro Gani Katika Picha Hii?
  • Katika Toleo Hili
  • Watoto Watafute Picha
  • Ni Nani Aliye Katika Nasaba ya Yesu?
  • MAJIBU YA UKURASA WA 31
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2008
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2008
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2008
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2008
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2008
g 11/08 kur. 22-31

Ungejibuje?

Kuna Kasoro Gani Katika Picha Hii?

Tambua vitu vitatu katika picha hii ambavyo havipatani na simulizi la Biblia katika Mwanzo 7:1-9, 13-16, 23; 8:15-19.

1. ․․․․․

2. ․․․․․

DOKEZO: Linganisha Mambo ya Walawi 11:3 na Kumbukumbu la Torati 14:4.

3. ․․․․․

DOKEZO: Linganisha Kumbukumbu la Torati 14:7-19.

ZUNGUMZENI PAMOJA:

Noa alisaidiwa jinsi gani na wana wake na wake zao? Unaweza kuwaigaje watoto wa Noa?

Katika Toleo Hili

Jibu maswali haya na utaje mistari ya Biblia ambayo haijaonyeshwa.

UKURASA WA 6 Ni nini ambacho mtu anayependa pesa hatawahi kupata? Mhubiri 5:________

UKURASA WA 9 Ni nani atakayekuwa na furaha? Mathayo 5:________

UKURASA WA 18 Mtu hapaswi kufanya nini anaposali? Mathayo 6:________

UKURASA WA 28 Tunapaswa kufanya nini na mahangaiko yetu yote? 1 Petro 5:________

Watoto Watafute Picha

Je, unaweza kupata picha hizi katika toleo hili? Kwa maneno yako mwenyewe, eleza jambo linalotendeka katika kila picha.

Ni Nani Aliye Katika Nasaba ya Yesu?

Fikiria madokezo. Soma maandiko. Kisha uandike majina sahihi katika nafasi zilizoonyeshwa.

4. ․․․․․

DOKEZO: Ingawa baba yangu aliniwekea mfano mbaya, nilikuwa mfalme ‘aliyeendelea kushikamana na Yehova.’

Soma 2 Wafalme 18:1-6.

5. ․․․․․

DOKEZO: Nilitumia vibaya nguvu zangu kwa kumwaga kwa wingi sana damu isiyo na hatia.

Soma 2 Wafalme 21:16.

6. ․․․․․

DOKEZO: Nilifuata mfano mbaya wa baba yangu na niliuawa na watumishi wangu.

Soma 2 Wafalme 21:19-23.

◼ Majibu kwenye ukurasa wa 22

MAJIBU YA UKURASA WA 31

1. Safina haikuwa na omo na tezi zilizochongoka.

2. Noa aliingiza wanyama saba “safi,” kama vile kondoo ndani ya safina.

3. Noa aliingiza wanyama “wasio safi” wawili tu wa kila aina ndani ya safina.

4. Hezekia—Mathayo 1:9.

5. Manase.—Mathayo 1:10.

6. Amoni.—Mathayo 1:10.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki