Yaliyomo
Oktoba 2009
Siri ya Kufanikiwa kwa Familia
Mara nyingi tunasoma kuhusu familia ambazo hazikufanikiwa. Lakini kwa nini familia nyingine zinafanikiwa? Mfululizo wa makala za kwanza katika toleo hili la pekee la Amkeni! utazungumzia siri saba zinazofanya familia zifanikiwe.
3 Siri ya 1: Kutanguliza Mambo Yanayofaa
7 Siri ya 5: Kuwa na Usawaziko
9 Siri ya 7: Kuweka Msingi Imara
14 Familia Zilizofanikiwa—Sehemu ya 1
22 Familia Zilizofanikiwa—Sehemu ya 2
31 Ungejibuje?
Nyumba Iliyogawanyika—Jinsi Talaka Inavyowaathiri Vijana 18
Mara nyingi talaka huwaathiri sana vijana kuliko watoto wachanga. Kwa nini?
Unaweza Kufanikiwa Ukiwa Mzazi Mmoja 26
Je, unawalea watoto wako ukiwa peke yako? Kanuni za Biblia zinaweza kukusaidia!