Yaliyomo
Novemba 2009
Teknolojia—Je, Ni Baraka au Laana?
Simu za mkononi, kompyuta, Intaneti na, bila shaka televisheni zimekuwa sehemu ya maisha yetu ya leo. Jifunze jinsi unavyoweza kutumia vifaa hivyo kwa njia inayofaa.
3 Teknolojia Imeenea kwa Kasi Sana
6 Wazazi—Waongozeni Watoto Wenu
8 Teknolojia—Fikiria Wengine na Gharama
15 “Eneo Lisilojulikana” la Bolivia
24 Ona Jina la Mungu Nchini Denmark
26 Mama Wenye Afya, Watoto Wenye Afya
31 Ungejibuje?
32 Biblia Ina Kile Unachohitaji!
Je, Inawezekana Kuwapenda Adui Zako? 10
Chuki na jeuri hutokeza chuki na jeuri. Ona jinsi ambavyo upendo unaweza kuzuia hilo.
Naacha Jeshi Ili Nimtumikie Yehova 12
Baada ya kupandishwa cheo na kuwa Ofisa Mhandisi wa kwanza katika moja kati ya nyambizi mpya za kurusha makombora ya masafa marefu ya nyuklia, ofisa wa jeshi la wanamaji alijiuzulu. Soma ni kwa nini alifanya hivyo.