Yaliyomo
Juni 2010
Jinsi ya Kukabiliana na Mfadhaiko
Imesemekana kwamba mfadhaiko ndio unaotokeza hatari kubwa zaidi kwa afya yetu. Soma uone jinsi mfadhaiko unavyoweza kutudhuru na jinsi tunavyoweza kuudhibiti.
3 Mfadhaiko—Hatari Kubwa kwa Afya
4 Jinsi Mfadhaiko Unavyotuathiri
6 Jinsi ya Kudhibiti Mfadhaiko
10 Kwarara wa Kaskazini Aliyezuiwa Kuhamahama
16 “Utepe wa Chuma” Unaounganisha Bahari Mbili
27 Kulinda Familia Yako Dhidi ya Homa
Ugonjwa wa Mifupa Unaoshambulia Kimyakimya 19
Inakadiriwa kwamba kila sekunde 30 mtu mmoja huvunjika mfupa kutokana na ugonjwa huo katika Muungano wa Ulaya. Nchini Marekani, mwanamke 1 kati ya 2 walio na umri unaozidi miaka 50 atavunjika mfupa kwa sababu ya ugonjwa huo. Jifunze njia kadhaa za kuuzuia.
Sababu Iliyonifanya Niache Kazi Yenye Pesa Nyingi 24
Martha alipata umaarufu na utajiri alipokuwa mwimbaji wa kulipwa. Ona ni kwa nini aliacha kazi hiyo na jinsi alivyopata furaha ya kweli.