Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 4/13 uku. 16
  • Njia ya Haraka ya Kupata Habari Kwenye Tovuti Yetu!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Njia ya Haraka ya Kupata Habari Kwenye Tovuti Yetu!
  • Amkeni!—2013
  • Habari Zinazolingana
  • Video Mpya kwa Ajili ya Kuanzisha Mafunzo ya Biblia
    Huduma Yetu ya Ufalme—2014
  • Je, Unatumia JW Library?
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Maktaba Kiganjani Mwako
    Jinsi Michango Yako Inavyotumiwa
  • Watoto na Simu za Mkononi—Sehemu ya 1: Je, Mtoto Wangu Anastahili Kuwa na Simu ya Mkononi?
    Msaada kwa Ajili ya Familia
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2013
g 4/13 uku. 16
[Picha]

Njia ya Haraka ya Kupata Habari Kwenye Tovuti Yetu!

[Picha]

Kuanzia toleo hili, Amkeni! litakuwa na alama za kukusaidia upate haraka habari kutoka kwenye tovuti yetu (QR codes). Unahitaji tu kuwa na kompyuta ndogo (tablet) iliyo na kamera na iliyounganishwa kwenye Intaneti au simu aina ya smartphone.

  1. Pakua programu inayoweza kusoma alama za QR.

  2. Fungua programu hiyo.

  3. Pitisha kamera juu ya alama hizo za QR.

Utaelekezwa moja kwa moja kwenye Tovuti yetu!

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki