Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g17 Na. 4 uku. 2
  • Utangulizi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Utangulizi
  • Amkeni!—2017
  • Habari Zinazolingana
  • Jinsi ya Kutumia Wakati Wako Vizuri
    Amkeni!—2014
  • 11 Bidii
    Amkeni!—2018
  • Je, Una Shughuli Nyingi Kupita Kiasi?
    Amkeni!—2017
  • Janga la Asili Linapotokea
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu Wote)—2019
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2017
g17 Na. 4 uku. 2

Utangulizi

Leo, watu wana shughuli nyingi kupita kiasi hivi kwamba mahusiano yao na wengine yamevurugika na pia familia zao zimeathiriwa.

Tunaweza kufanya nini ili tuwe na usawaziko katika matumizi yetu ya wakati?

Mtu fulani mwenye hekima aliandika hivi: “Konzi moja ya pumziko ni afadhali kuliko konzi mbili za kazi ngumu na kufuatilia upepo.”—Mhubiri 4:6.

Toleo hili la “Amkeni!” linatoa mapendekezo ambayo yatakusaidia utumie muda wako kwa hekima, kutia ndani kutanguliza mambo yanayofaa.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki