Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g19 Na. 3 kur. 14-15
  • Kitabu Chenye Manufaa Zaidi Katika Historia

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kitabu Chenye Manufaa Zaidi Katika Historia
  • Amkeni!—2019
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • KUTAFSIRIWA NA KUSAMBAZWA KWA BIBLIA
  • JIFUNZE MENGI ZAIDI
  • BIBLIA ZILIZOSAMBAZWA NA MASHAHIDI WA YEHOVA
  • TAFSIRI YA ULIMWENGU MPYA
  • Tafsiri ya New World Translation Inathaminiwa na Mamilioni ya Watu Ulimwenguni Pote
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2001
  • Kuchapa na Kugawanya Neno Takatifu la Mungu Mwenyewe
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
  • Yehova, Mungu wa Mawasiliano
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2015
  • Hatua Muhimu kwa Wapendao Neno la Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1999
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2019
g19 Na. 3 kur. 14-15
Mwanamke akisoma Biblia

Kitabu Chenye Manufaa Zaidi Katika Historia

Biblia ndicho kitabu kilichotafsiriwa na kusambazwa zaidi. Hivyo, hekima yake imewafikia na kuwasaidia watu wengi zaidi kuliko kitabu kingine chochote. Fikiria takwimu zifuatazo:

KUTAFSIRIWA NA KUSAMBAZWA KWA BIBLIA

Makundi ya Biblia
  • 96.5% ya watu ulimwenguni pote wanaweza kupata Biblia

  • INAPATIKANA (IKIWA NZIMA AU KWA SEHEMU) katika lugha 3,350

  • 5,000,000,000 Idadi inayokadiriwa ya nakala zilizochapishwa. Hiyo ni idadi kubwa kuliko kitabu kingine chochote katika historia

JIFUNZE MENGI ZAIDI

TEMBELEA TOVUTI YETU YA JW.ORG. HAPO UNAWEZA

  • Kusoma Biblia mtandaoni (inapatikana katika mamia ya lugha)

  • Kupakua Biblia

  • Kupata majibu ya maswali ya Biblia

  • Kusoma makala kuhusu jinsi Biblia ilivyoboresha maisha ya watu wengi

  • Kujifunza Biblia mtandaonia

  • Kuomba ufundishwe Biblia kibinafsi

BIBLIA ZILIZOSAMBAZWA NA MASHAHIDI WA YEHOVA

MASHAHIDI WA YEHOVA WANASHIRIKI KWA BIDII KATIKA KUTAFSIRI NA KUSAMBAZA BIBLIA.

Hizi ni baadhi ya tafsiri za Biblia ambazo tulisambaza miaka iliyopita:

  • American Standard Version ya 1901

  • The Bible in Living English, Byington

  • The Emphatic Diaglott

  • King James Version

  • Revised Standard Version

  • New Testament ya Tischendorf

TAFSIRI YA ULIMWENGU MPYA

Grafu inayoonyesha ukuzi wa uzalishaji wa Tafsiri ya Ulimwengu Mpya tangu 1950 hadi 2020
  • INAPATIKANA (IKIWA NZIMA AU KWA SEHEMU) Katika lugha zaidi ya 180

  • MILIONI 227 NAKALA ZA TAFSIRI YA ULIMWENGU MPYA ZILIZOCHAPISHWA TANGU MWAKA WA 1950

a Kwa sasa masomo hayo yanapatikana katika lugha ya Kiingereza na Kireno. Baadaye yatapatikana katika lugha nyingine.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki