Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g21 Na. 1 uku. 3
  • Hekima ya Kukuongoza Uwe na Maisha Yenye Furaha

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Hekima ya Kukuongoza Uwe na Maisha Yenye Furaha
  • Amkeni!—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Yaliyomo
    Amkeni!—2021
  • Jinsi ya Kupata Furaha
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2010
  • Jiji la Afrika Lenye Watu wa Mashariki na Magharibi
    Amkeni!—2001
  • Kupata Furaha ya Kweli kunategemea Wewe
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1981
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2021
g21 Na. 1 uku. 3
Mwanamke akiwa mkahawani nchini India akitafakari jambo alilosoma.

Hekima ya Kukuongoza Uwe na Maisha Yenye Furaha

“Bado ninahuzunishwa na mambo mabaya yanayotokea ulimwenguni kama vile vita, njaa, magonjwa, na kutendewa vibaya kwa watoto​— lakini sasa nina tumaini.”​— RANI.a

Rani alipata furaha ya kweli alipojifunza kwamba, Muumba wetu, Mungu mweza-yote, ndiye chanzo cha hekima ya kweli. Unaposoma makala zinazofuata za gazeti hili, ona jinsi mafundisho ya Mungu yanavyoweza kukusaidia . . .

  • kuwa na familia yenye furaha

  • kuwa na uhusiano mzuri na wengine

  • kuwa na furaha na kuridhika

  • kuelewa kwa nini tunateseka na kufa

  • kuamini kwamba hivi karibuni Muumba wetu atakomesha mateso yote na kutupatia maisha yenye furaha

  • kumjua Muumba wetu na kumkaribia

Pia, utajifunza kwamba hekima kutoka kwa Muumba wetu ni kwa ajili ya kila mtu.

a Majina katika gazeti hili yamebadilishwa.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki