Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 4
  • Ahadi ya Mungu ya Paradiso

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ahadi ya Mungu ya Paradiso
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Ahadi ya Mungu Kuhusu Paradiso
    Mwimbieni Yehova
  • Ahadi ya Mungu Kuhusu Paradiso
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Hatimaye—Uzima Bila Mwisho!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Uzima wa Milele Umeahidiwa
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 4

Wimbo 4

Ahadi ya Mungu ya Paradiso

(Luka 23:43)

1. Lo! Yehova ameahidi,

Paradiso duniani

Yesu Kristo Atukomboe

Na dhambi na hata kifo.

(Korasi)

2. Ni kusudi la Baba Yake,

Afufue wale wafu.

‘Utakuwa Paradisoni,’

Akasema Yesu Kristo.

(Korasi)

3. Furaha we! Kufufuliwa

Tena wafu duniani!

Watapata elimu bora,

Wawe huru bila chuki.

(Korasi)

4. Paradiso, asante Mungu.

Utaleta Paradiso

Kupitia Mwanao Yesu.

Tufurahi na tuimbe.

(KORASI)

Paradiso Duniani.

Kwa imani tunaona.

Ni mapenzi ya Yehova,

ili Yesu ailete.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki