Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 26
  • Kutimiza Matakwa ya Mungu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kutimiza Matakwa ya Mungu
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Zile Furaha na Matunda ya Utumishi wa Ufalme
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Kuishi Kulingana na Jina Letu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • O Enda Pamoja na Mungu!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Mungu Mkuu, Yehova!
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 26

Wimbo 26

Kutimiza Matakwa ya Mungu

(Ufunuo 12:17)

1. Na tuwe waaminifu,

Tushike ukamilifu.

Tangaza nyumba kwa nyumba

Tukufu za jina la Yah.

Sisi tunawafariji

Wale waombolezao;

Alama na tuwatie,

Mungu awaachilie.

2. Jicho likiwa rahisi,

Ukweli utakazika.

Tukilinda moyo wetu,

Uzima milele wetu.

Tukilihubiri neno,

Wengi, ’tasikia kweli.

Tukinyosha njia zetu,

Shangwe ya ’Falme ’tajaa.

3. Ndugu tuwasaidie,

Jirani tusaidie,

Tukae kwa umoja na,

Waaminifu wa Mungu.

Twathamini hali yetu,

Ya furaha, wahudumu.

Na tusiilaumishe,

Tukweze jina Yehova.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki