Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 27
  • Msiwaogope!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Msiwaogope!
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Msiwaogope!
    Mwimbieni Yehova
  • Msiwaogope!
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Fuateni Mfalme Shujaa wa Vita!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Hatimaye—Uzima Bila Mwisho!
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 27

Wimbo 27

Msiwaogope!

(Mathayo 10:28)

1. ’Nyi watu wangu songeni,

Ufalme tangazeni.

Adui musihofu.

Wote wajulisheni

Mwana wangu, Kristo Yesu,

Kafukuza adui,

Atafunga Ibilisi,

Awaache mateka.

(Korasi)

2. Ijapo adui wengi,

Ijapo wanatisha,

Japo wachekecheke,

Musiwaogope la,

Musiogope; pigeni;

Moyo usizimie.

Nitalinda wa’minifu

Vizuizi vitoke.

(Korasi)

3. Musiogope, mimi ni

Nguvu na ngao yenu.

Japo mufe shambani

Kifo kitanitii.

La, musihofu askari;

Wajaporinga hao,

Nitakinga wa’minifu.

Kama mboni ya jicho.

(KORASI)

Musiogope waua

Mwili tu, si nafusi.

Dumuni waaminifu

Mufikie muradi.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki