Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 83
  • Sababu ya Kufurahi kwa Sayuni

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Sababu ya Kufurahi kwa Sayuni
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Taifa Takatifu la Yehova
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Bariki Udugu wa Kikristo Wetu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • “Jina Jipya”
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
  • Kuishi Kulingana na Jina Letu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 83

Wimbo 83

Sababu ya Kufurahi kwa Sayuni

(Isaya 66:8)

1. Mungu ana taifa;

Lililozaliwa.

“Inchi” ikazaliwa

Kusiwe huzuni.

Sayuni wa mbinguni

Amezaa Wana

Wengi wakatangaza

Jina la Yehova.

(Korasi)

2. Uzawa wa taifa

Umefurahisha.

Latumikia ’Falme

Na latunza kundi.

Watoto wa Sayuni

Wanatii Neno.

Wahubiri wafunza.

Hawaogopi kamwe.

(Korasi)

3. Mungu kuyatikisa

Mataifa yote

Wanaotamanika

Waenda Sayuni.

Ni pendeleo lao

Kumusifu Mungu,

Wanamwabudu yeye,

Waita jinake.

(KORASI)

Furahi pamoja na Sayuni!

Yehova anamupenda sana!

Wana wake chini ni ishara,

na wala mezani pa Yehova. va.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki