Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 88
  • Sala ya Mtumishi wa Mungu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Sala ya Mtumishi wa Mungu
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Sala ya Mtumishi wa Mungu
    Mwimbieni Yehova
  • Shukrani kwa Mpaji wa Uzima
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Kristo Mfano Wetu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Kutembea Katika Jina la Mungu Wetu
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 88

Wimbo 88

Sala ya Mtumishi wa Mungu

(Yakobo 3:17)

1. Baba, Bwana mbinguni,

Jina na litukuzwe;

Rehema zitadumu,

Mwaminifu, hakika.

Mwaminifu, hakika,

Rehema zitadumu.

2. Tufanyapo huduma,

Funza kutenda penzi.

Amuri tuzishike,

Tukae na “kondoo.”

Tukae na “kondoo,”

Amuri tuzishike.

3. Hekima yako tupe,

Safi, pole, ya pendo.

Rehema, saidia,

Na tusipendelee.

Na tusipendelee,

Rehema, saidia.

4. Jaza furaha yetu

Tushiriki huduma.

Sala zisitindike,

Ufalme ’ongezeke.

Ufalme ’ongezeke,

Sala zisitindike.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki