Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 110
  • Uwe Mwenye Kusamehe

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Uwe Mwenye Kusamehe
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Uwe Mwenye Kusamehe
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Uwe Mwenye Kusamehe
    Mwimbieni Yehova
  • Upendo Wako ni Halisi Kadiri Gani?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1980
  • ‘Yehova Aliwasamehe Ninyi kwa Hiari’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 110

Wimbo 110

Uwe Mwenye Kusamehe

(Waefeso 4:32)

1. Kwa pendo Yehova wetu

Kaufanya mupango,

Wa dhambi, katuma Mwana,

Ili tukombolewe.

Tukitubu kweli kweli,

Tuombe musamaha

Kwa ukombozi wa Kristo,

Katika jina lake.

2. Mungu anasamehe tu

Walio kama yeye,

Wanasamehe wengine,

Wana pendo, huruma.

Sisi si wakamilifu,

Twakosa mara nyingi

Kwa neno, tendo pumbavu.

Twataka musamaha.

3. Siku za huzuni chungu

Samaha lazuia;

Tunaonyesha fadhili

Za kutoka mbinguni.

Tukisamehe kwa moyo

Ni kukomaa kwetu,

Kuonyesha ufahamu

Na huleta amani.

4. Samaha la kweli, wema

Sote tusitawishe.

Tutaepuka kinyongo,

Na uchungu wa chuki.

Tusamehepo kikweli,

Twafanana na Mungu,

Apendaye kusamehe,

Neema twatukuza.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki