Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 114
  • Upendo Mshikamanifu wa Mungu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Upendo Mshikamanifu wa Mungu
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Upendo Mshikamanifu wa Mungu
    Mwimbieni Yehova
  • Upendo Mshikamanifu wa Mungu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Upendo Mshikamanifu wa Yehova Unamaanisha Nini Kwako?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2021
  • Jina la Baba Yetu
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 114

Wimbo 114

Upendo Mshikamanifu wa Mungu

(Isaya 55:1-3)

1. Mungu ni upendo!

Ni mushikamanifu.

Mwanaye kamutuma,

Aliyetukomboa,

Tuwe waadilifu,

Uzima na furaha.

(Korasi)

2. Mungu ni upendo!

Kazi zashuhudia.

’Meonyesha zaidi,

Kumutawaza Kristo

Atimize agano.

’Falme umezaliwa.

(Korasi)

3. Mungu ni upendo!

Amani kapeleka.

Kwa kutupa “mutumwa,”

Akapewa wadhifa,

Abebe jina Lake,

Ili alitetee.

(Korasi)

4. Mungu ni upendo!

Upendo wake Mungu.

Tusukumwe tupende.

Saidia wapole,

Hubiri nyumba, nyumba,

Kote wafarijike.

(KORASI)

He, nyote wenye kiu,

Njoni munywe, ni bure.

Ndiyo, nyweni, oneni;

fadhili za Mungu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki