Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 149
  • “Haiwezekani Mungu Kusema Uwongo”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Haiwezekani Mungu Kusema Uwongo”
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2022
  • “Haiwezekani!” Neno Hilo Linamaanisha Nini?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • Mtii Mungu Ili Ufaidike Kutokana Na Ahadi Zake Zenye Kiapo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 149

Wimbo 149

“Haiwezekani Mungu Kusema Uwongo”

(Waebrania 6:18)

1. Aliposhinda jaribu Abra’mu,

Mungu alimwahidia baraka.

Aliona baraka kwa imani;

Kajua Mungu hasemi uwongo.

2. Mungu akionyesha hageuki,

Mungu alibariki Abrahamu,

Twamutukuza, tuna tumaini,

Kwa kuwa Mungu hasemi uwongo.

3. Kutia nanga tumaini letu,

Ahadi Mungu aliiapia.

Twapinga ’shambulizi; ya imani;

Twajua Mungu hasemi uwongo.

4. Yehova ni mwaminifu wa kweli.

Haachi wamupao haki yake.

Neno, kiapo chake, tuamini.

La, hasha, Mungu hasemi uwongo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki