Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 155
  • “Mkaribishane”!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Mkaribishane”!
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Karibishaneni
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Karibishaneni
    Mwimbieni Yehova
  • “Mkaribishane”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1981
  • Mkaribisheni Mfalme Anayekuja!
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 155

Wimbo 155

“Mkaribishane”!

(Warumi 15:7)

1. Karibishaneni kama vile Kristo Yesu!

Nduguyo kafiwa na Kristo, akaribishwe.

Basi wenye nguvu wasaidie dhaifu,

Walishike tumaini, wafuate haki.

Maana yaliyoandikwa na manabii

Yaweza kutupa faraja na tumaini.

Tujaribu daima kupendeza wengine,

Tupendezwe na mambo ya ndugu yetu pia.

2. Yehova anakusanya watu wa amani.

Ni wakati wa Yesu kurudisha amani.

Avuta watu wa taifa zote na lugha,

Anatia ndani yao kupenda sheria.

Kwa utukufu wa Mungu, tunakaribisha

Hatubagui sisi ni rafiki za wote.

Tunafuatisha moyo mukubwa wa Mungu.

Kama Mwanaye, tupanue mioyo yetu.

3. Tuwasihi wote pia, wamutukuze Yah,

Tufurahi na taifa lake tumusifu.

Na tutangaze nyumbani na barabarani,

Habari njema za Mungu kwao watu wote.

Ni heshima kubwa kuimba sifa za Mungu.

Hizi ni siku za mwisho kwa waovu wote.

Tupende ndugu zetu, Mungu awe wa kweli;

Karibishaneni kama tunavyoambiwa.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki