Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 202
  • Sisi Tu Wakfu kwa Mungu!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Sisi Tu Wakfu kwa Mungu!
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Tumejiweka Wakfu kwa Mungu!
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Tumejiweka Wakfu kwa Mungu!
    Mwimbieni Yehova
  • Kristo Mfano Wetu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Shiriki Wimbo wa Ufalme!
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 202

Wimbo 202

Sisi Tu Wakfu kwa Mungu!

(Kutoka 39:30)

1. Yehova ametuvuta kwake Kristo.

Alitutumia ukweli.

Kutoka mbinguni

Nuru imeng’aa.

Imani ’mezidi

Tumejikana Wenyewe.

Sisi tu wakfu kwa Mungu. Tumetaka.

Twamufurahia na Mwana.

2. Na walioamua wamezoezwa;

Ni wahudumu wa Yehova.

Waimba pamoja

Wimbo wa Ufalme,

Kama jeshi moja,

Kwa kuwa ni wa Yehova.

Wameonyesha hivyo kwa ubatizo;

Na wanahubiri Ufalme.

3. Yehova na atimize ombi letu

La kutaka dhamiri safi.

Tuna shangwe kubwa

Sana ya kubeba

Jina la Yehova.

Twaweza kusali kwake.

Sisi tu wakfu kwa Mungu; kwa hekima

Tuthamini ’simamo huo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki