Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • yp2 uku. 166
  • Mfano wa Kuigwa—Yule Mjane Maskini

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mfano wa Kuigwa—Yule Mjane Maskini
  • Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
  • Habari Zinazolingana
  • Mjane wa Sarefathi Alithawabishwa kwa Sababu ya Imani Yake
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2014
  • Mwana wa Mjane Afanywa Kuwa Hai Tena
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
  • ‘Fuateni Hatua Zake kwa Ukaribu’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2021
Pata Habari Zaidi
Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
yp2 uku. 166

Mfano wa Kuigwa—Yule Mjane Maskini

Yesu anawatazama matajiri wakitumbukiza michango ndani ya sanduku la hazina hekaluni. Katikati ya umati huo, anamwona mjane mmoja mwenye uhitaji ambaye anatoa “sarafu ndogo mbili za thamani ndogo sana.” (Luka 21:2) Yesu anamsifu kwa sababu ya tendo hilo la ukarimu. Kwa nini? Kwa sababu wengine walikuwa wametoa “kutokana na ziada yao, lakini yeye, kutokana na uhitaji wake, alitumbukiza ndani vyote alivyokuwa navyo, riziki yake yote.”—Marko 12:44.

Je, unatanguliza mambo ya maana kama mwanamke huyo alivyofanya? Je, uko tayari kutumia wakati na pesa zako kumtumikia Yehova? Kama mjane huyo, unaweza kutoa mchango kwa ajili ya udumishaji wa mahali pa ibada. Pia, unaweza kutumia wakati na pesa zako kuwafundisha wengine kumhusu Yehova Mungu. Yehova aliona na kuthamini kiasi kidogo ambacho yule mjane alitoa kwa ajili ya utumishi wake. Mungu atathamini na atakusaidia pia ikiwa unatanguliza kufanya mapenzi yale.—Mathayo 6:33.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki