Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 3
  • “Mungu ni Upendo”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Mungu ni Upendo”
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • “Mungu Ni Upendo”
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Maana ya Kumpenda Jirani Yetu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
  • “Endeleeni Kutembea Katika Upendo”
    Mkaribie Yehova
  • Mpende Mungu Anayekupenda
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 3

Wimbo Na. 3

“Mungu Ni Upendo”

Makala Iliyochapishwa

(1 Yohana 4:7, 8)

1. Mungu ni mwenye upendo,

Ataka tumuige.

Upendo tukiwa nao,

Tutatenda mema tu.

Ndiyo siri ya maisha;

Yafaayo Wakristo.

Upendo kama wa Kristo,

Kamwe hautashindwa.

2. Kupenda kweli ya Mungu;

Hutuchochea sana.

Asamehe tukosapo;

Nguvu anatutia.

Upendo hauna wivu;

Huvumilia yote.

Na tupende ndugu zetu,

Pasipo unafiki.

3. ’Siwe na kinyongo kamwe;

Na kisikutawale.

Tegemea Yehova tu;

Fuata amri zake:

Penda Mungu na jirani,

Penda toka moyoni.

Na tuonyeshe upendo

Upendo wa Kikristo.

(Ona pia Marko 12:30, 31; 1 Kor. 12:31–13:8; 1 Yoh. 3:23.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki