Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 55
  • Uzima wa Milele—Hatimaye!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Uzima wa Milele—Hatimaye!
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Uzima wa Milele​—⁠Hatimaye!
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Hatimaye—Uzima Bila Mwisho!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Wimbo Mpya
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Wimbo Mpya
    Mwimbieni Yehova
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 55

Wimbo Na. 55

Uzima wa Milele—Hatimaye!

Makala Iliyochapishwa

(Yohana 3:16)

1. Wazia watu wote,

Wakiishi pamoja!

Kwa amani na shangwe!

Bila maumivu!

(KORASI)

Imba kwa furaha!

Waweza kuwapo.

Na mwishowe upate,

Uzima milele!

2. Wazee siku hizo,

Watakuwa vijana.

Bila shida, machozi

Wala woga kamwe.

(KORASI)

Imba kwa furaha!

Waweza kuwapo.

Na mwishowe upate,

Uzima milele!

3. Tusifu Mungu wetu

Kwa paradiso hiyo.

Kila siku, tuseme

“Asante Yehova!”

(KORASI)

Imba kwa furaha!

Waweza kuwapo.

Na mwishowe upate,

Uzima milele!

(Ona pia Ayu. 33:25; Zab. 72:7; Ufu. 21:4.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki