Wimbo Na. 37
Maandiko—Yaliongozwa na Roho ya Mungu
Makala Iliyochapishwa
1. Neno la Mungu ni nuru.
Mungu twamushukuru.
Tutii na kufaulu.
Huwaweka watu huru.
2. Neno la Yehova Mungu,
Latufunza matakwa.
Hunyoosha mambo yote,
Na kututia nidhamu.
3. Tusomapo Maandiko,
Twaona badiliko.
Nasi twapata hekima,
Na zawadi ya uzima.
(Ona pia Zab. 119:105; Met. 4:13.)