Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 72
  • Kusitawisha Sifa ya Upendo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kusitawisha Sifa ya Upendo
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Kusitawisha Sifa ya Upendo
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Mjengwe na Upendo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2001
  • Upendo Ni Sifa Yenye Thamani
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2017
  • Sitawisha Upendo Ambao Haushindwi Kamwe
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 72

Wimbo Na. 72

Kusitawisha Sifa ya Upendo

Makala Iliyochapishwa

(1 Wakorintho 13:1-8)

1. Twasali kwa Yehova Mungu,

Tusitawishe sifa zake.

Zaidi ya yote Upendo

Unaotokana na roho.

Vipawa vyetu vyote bure,

Ikiwa hatuna upendo.

Basi tusitawishe ’pendo;

Na kumupendeza Yehova.

2. Na kondoo tufundishapo,

Tuwapende na kuwajali.

Huku tukiwasaidia,

Kujilisha Neno la Mungu.

Upendo hutusaidia,

kustahimili mambo yote.

Huhimili mizigo yote.

’Pendo halitashindwa kamwe.

(Ona pia Yoh. 21:17; 1 Kor. 13:13; Gal. 6:2.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki