Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sjj wimbo na. 106
  • Kusitawisha Sifa ya Upendo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kusitawisha Sifa ya Upendo
  • ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Habari Zinazolingana
  • Kusitawisha Sifa ya Upendo
    Mwimbieni Yehova
  • “Mungu ni Upendo”
    Mwimbieni Yehova
  • “Mungu Ni Upendo”
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • “Endeleeni Kutembea Katika Upendo”
    Mkaribie Yehova
Pata Habari Zaidi
‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
sjj wimbo na. 106

WIMBO NA. 106

Kusitawisha Sifa ya Upendo

Makala Iliyochapishwa

(1 Wakorintho 13:1-8)

  1. 1. Twasali kwa Yehova Mungu,

    Tusitawishe sifa zake.

    Zaidi ya yote upendo

    Unaotokana na roho.

    Vipawa vyetu vyote bure,

    Ikiwa hatuna upendo.

    Basi na tuwe na upendo;

    Na kumpendeza Yehova.

  2. 2. Upendo ni wenye fadhili.

    Huwafikiria wengine.

    Upendo hauna kinyongo,

    Bali husamehe wengine.

    Upendo hutusaidia,

    Kustahimili mambo yote.

    Huhimili mizigo yote.

    Upendo haushindwi kamwe.

(Ona pia Yoh. 21:17; 1 Kor. 13:13; Gal. 6:2.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki