Wimbo Na. 58
Sala Yangu ya Wakfu
Makala Iliyochapishwa
1. Nakupa moyo wangu,
Nipende kweli yako.
Ninakupa akili,
Zifanye kazi yako.
2. Ninakupa miguu,
Mikono yangu pia.
Ninakupa sauti,
Ikuimbie Bwana.
3. Ninakupa uhai,
Nifanye upendayo.
Nichukue nifanye,
Mapenzi yako Bwana.
(Ona pia Zab. 40:8; Yoh. 8:29; 2 Kor. 10:5.)