Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 130
  • Muujiza wa Uhai

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Muujiza wa Uhai
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Muujiza wa Uhai
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kufanikisha Maisha Yetu
    Mwimbieni Yehova
  • Maisha ya Painia
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Maisha ya Painia
    Mwimbieni Yehova—Nyimbo Mpya
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 130

Wimbo Na. 130

Muujiza wa Uhai

Makala Iliyochapishwa

(Zaburi 36:9)

1. Kila kitoto, tone la mvua,

Kila mwale wa jua, Kila bua—

Zote n’zawadi; toka kwa Mungu,

Miujiza ya Mungu ya kila siku.

(KORASI)

Tuutumieje uhai wetu?

Tumupende Yule atupaye uhai.

Hata tufanyeje, haununuliki.

Bali ni zawadi—Na ni muujiza.

2. Wengine kama, muke wa Yobu,

Husema: ‘Mulaani Mungu ufe.’

Sivyo tulivyo, tunamusifu.

Tunamushukuru kwa uhai wetu.

(KORASI)

Tuutumieje uhai wetu?

Tuwapende na kuwajali wanadamu.

Hata tufanyeje, haununuliki.

Bali ni zawadi—Na ni muujiza.

(Ona pia Ayu. 2:9; Zab. 34:12; Mhu. 8:15; Mt. 22:37-40; Rom. 6:23.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki