Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • snnw wimbo na. 140
  • Maisha ya Painia

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Maisha ya Painia
  • Mwimbieni Yehova—Nyimbo Mpya
  • Habari Zinazolingana
  • Maisha ya Painia
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kufanikisha Maisha Yetu
    Mwimbieni Yehova
  • Muujiza wa Uhai
    Mwimbieni Yehova
  • Muujiza wa Uhai
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova—Nyimbo Mpya
snnw wimbo na. 140

Wimbo Na. 140

Maisha ya Painia

Makala Iliyochapishwa

(Mhubiri 11:6)

  1. Ni kabla ya jua, usingizi mtamu,

    Twaanza kwa sala

    Kisha twaenda, kuhubiri.

    Tunatabasamu wanasikiliza.

    Hata wasiposikiliza,

    hatuvunjwi moyo.

    (KORASI)

    Ni maisha yetu;

    Tumeyachagua.

    Kuishi atakavyo Mungu.

    Tunavumilia,

    Kuwe mvua jua.

    “Ninakupenda sana wewe Yehova.”

  2. Jua linatua, tumechoka sana,

    Twasali kwa shangwe,

    moyo umejaa furaha.

    Ni maisha yetu, ya kujidhabihu.

    Yehova twashukuru,

    watumwagia baraka.

    (KORASI)

    Ni maisha yetu;

    Tumeyachagua.

    Kuishi atakavyo Mungu.

    Tunavumilia,

    Kuwe mvua jua.

    “Ninakupenda sana wewe Yehova.”

(Ona pia Yos. 24:15; Zab. 92:2; Rom. 14:8.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki