Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ll seh. ya 2 kur. 6-7
  • Mungu wa Kweli ni Nani?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mungu wa Kweli ni Nani?
  • Msikilize Mungu Uishi Milele
  • Habari Zinazolingana
  • Sehemu ya 2
    Msikilize Mungu
  • Wewe Uliumbwa na Nani?
    Furahia Milele Maisha Duniani!
  • Majibu ya Maswali ya Biblia
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
  • Roho Si Viumbe Walioishi Duniani Kisha Wakafa
    Roho za Wafu—Je! Zaweza Kukusaidia au Kukuumiza? Je Ziko Kweli?
Pata Habari Zaidi
Msikilize Mungu Uishi Milele
ll seh. ya 2 kur. 6-7

SEHEMU YA 2

Mungu wa Kweli Ni Nani?

Akiwa kwenye kiti chake cha ufalme huko mbinguni, Yehova anatazama uumbaji wake mbinguni na duniani

Kuna Mungu mmoja tu wa kweli, na jina lake ni Yehova. (Zaburi 83:18) Yeye ni Roho; hatuwezi kumwona. Anatupenda, naye anataka tumpende. Anataka tuwapende watu wengine pia. (Mathayo 22:35-40) Yeye ndiye Aliye Juu Zaidi, Muumba wa vitu vyote.

Kiumbe wa kwanza aliyeumbwa na Mungu alikuwa mtu wa roho mwenye nguvu ambaye baadaye aliitwa Yesu Kristo. Yehova aliwaumba malaika pia.

Yehova aliumba kila kitu mbinguni . . . na duniani. Ufunuo 4:11

Yehova Mungu aliumba nyota na pia dunia na kila kitu kilicho duniani.​—Mwanzo 1:1.

Alimuumba mwanamume wa kwanza, Adamu, kutoka katika mavumbi ya ardhi.—Mwanzo 2:7.

  • Kwa nini tunapaswa kumheshimu Yehova?​—Isaya 42:5.

  • Baadhi ya sifa za Mungu ni gani?​—Kutoka 34:6.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki