Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • lfb kur. 72-73
  • Utangulizi wa Sehemu ya 6

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Utangulizi wa Sehemu ya 6
  • Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • Habari Zinazolingana
  • Kukombolewa Misri Mpaka Mfalme wa Kwanza wa Israeli
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
  • Waisraeli Waingia Kanaani
    Biblia—Ina Ujumbe Gani?
  • Uaminifu Hutuwezesha Kupata Kibali cha Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2016
  • Yeftha Anatimiza Nadhiri Yake Kwa Yehova
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
Pata Habari Zaidi
Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
lfb kur. 72-73
Samsoni akibeba malango ya jiji la Gaza

Utangulizi wa Sehemu ya 6

Waisraeli walipofika Nchi ya Ahadi, maskani ikawa kitovu cha ibada ya kweli. Makuhani waliwafundisha watu Sheria, na waamuzi wakaongoza taifa hilo. Sehemu hii inaonyesha jinsi maamuzi na matendo ya mtu yanavyoweza kuwaathiri sana watu wengine. Kila Mwisraeli alikuwa na wajibu mbele za Yehova na kwa watu wengine. Onyesha jinsi mifano mizuri ya Debora, Naomi, Yoshua, Hana, binti ya Yeftha, na Samweli ilivyowachochea wengine. Kazia kwamba hata watu fulani ambao hawakuwa Waisraeli, kama vile Rahabu, Ruthu, Yaeli, na Wagibeoni waliamua kujiunga na Waisraeli kwa kuwa walitambua kwamba Mungu alikuwa pamoja nao.

MAMBO MAKUU

  • Yehova aliwatumia waamuzi kuwaokoa watu wake kimuujiza

  • Watu waaminifu, vijana kwa wazee, walithawabishwa kwa kumtegemea Yehova kikamili

  • Mungu hana ubaguzi; anawakubali watu kutoka mataifa yote wanaompenda na kutenda mema

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki