Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • lfb kur. 136-137
  • Utangulizi wa Sehemu ya 10

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Utangulizi wa Sehemu ya 10
  • Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • Habari Zinazolingana
  • Ibada ni Ya Mungu
    Kumsikiliza Mwalimu Mkuu
  • Imani Yao Ilishinda Jaribu Kali
    Sikiliza Unabii wa Danieli!
  • Mungu Wako Ni Nani?
    Jifunze Kutoka kwa Mwalimu Mkuu
  • Walikataa Kuabudu
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
Pata Habari Zaidi
Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
lfb kur. 136-137
Mfalme Ahasuero anamnyooshea Malkia Esta fimbo yake

Utangulizi wa Sehemu ya 10

Yehova ni Mfalme juu ya kila kitu. Sikuzote amekuwa na mamlaka juu ya kila kitu, naye ataendelea kuwa na mamlaka. Kwa mfano, Yeremia alipotupwa ndani ya shimo, Yehova alimwokoa ili asife. Alimwokoa Shadraki, Meshaki, na Abednego kutoka katika tanuru la moto na akamwokoa Danieli kutoka katika vinywa vya simba. Yehova alimlinda Esta ili aokoe taifa lake lote. Hataruhusu uovu uendelee milele. Unabii kuhusu ile sanamu kubwa na mti mkubwa unatoa uhakikisho kwamba hivi karibuni Ufalme wa Yehova utaondoa uovu wote na kutawala dunia.

MAMBO MAKUU

  • Ufalme wa Yehova ni wenye nguvu zaidi kuliko serikali yoyote ya kibinadamu

  • Kama Esta na Danieli, tunapaswa kutetea mambo yanayofaa, haidhuru tuko wapi

  • Mtegemee Yehova kabisa unapokabili hali ngumu, kama Yeremia na Nehemia walivyofanya

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki