Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sjj wimbo na. 31
  • Tembea Pamoja na Mungu!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tembea Pamoja na Mungu!
  • ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Habari Zinazolingana
  • Tembea Pamoja na Mungu!
    Mwimbieni Yehova
  • “Mhakikishe Mambo Yaliyo ya Maana Zaidi”
    Mwimbieni Yehova
  • “Mhakikishe Mambo Muhimu Zaidi”
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • O Enda Pamoja na Mungu!
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
sjj wimbo na. 31

WIMBO NA. 31

Tembea Pamoja na Mungu!

Makala Iliyochapishwa

(Mika 6:8)

  1. 1. Utembee kwa kiasi;

    Pamoja na Yehova.

    Uwe mshikamanifu kwake,

    Ili akupe nguvu.

    Na ukitii Neno lake,

    Hutakengeuka;

    Mungu na akuongoze,

    Mtii sikuzote.

  2. 2. Utembee kwa usafi;

    Pamoja na Yehova.

    Ujapokabili majaribu,

    Atakusaidia.

    Yote yaliyo safi, mema;

    Tafakari hayo.

    Na ili uvumilie,

    Mtumaini Mungu.

  3. 3. Utembee kwa furaha;

    Pamoja na Yehova.

    Uthamini akufanyiayo;

    Baraka akupazo.

    Utembee naye kwa shangwe.

    Imba sifa zake.

    Wote wataona wazi,

    Wamwabudu Yehova.

(Ona pia Mwa. 5:​24; 6:9; Flp. 4:8; 1 Tim. 6:​6-8.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki