Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 26
  • Tembea Pamoja na Mungu!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tembea Pamoja na Mungu!
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • O Enda Pamoja na Mungu!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Tembea Pamoja na Mungu!
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Lazima Tufundishwe
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Lazima Tufundishwe
    Mwimbieni Yehova
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 26

Wimbo Na. 26

Tembea Pamoja na Mungu!

Makala Iliyochapishwa

(Mika 6:8)

1. Tembea pamoja naye;

Yehova kwa kiasi.

Nawe ushike ukamilifu;

Ili akupe nguvu.

Na ukitii kweli yake,

Usidanganyike;

Mungu na akuongoze,

Sawa na mutoto.

2. Tembea pamoja naye;

Na dhambi uepuke.

Nawe ufanye maendeleo,

Pata kibali chake.

Yote yaliyo safi, mema,

Tafakari hayo.

Na ili uvumilie,

Tumaini Mungu.

3. Tembea pamoja naye;

Nawe utajifunza,

Ujitoaji, na kuridhika,

Sifa zenye faida.

Utembee naye kwa shangwe.

Imba sifa zake.

Kufanya kazi ya Mungu,

Hutupa furaha.

(Ona pia Mwa. 5:24; 6:9; Flp. 4:8; 1 Tim. 6:6-8.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki