Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sjj wimbo na. 86
  • Lazima Tufundishwe

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Lazima Tufundishwe
  • ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Habari Zinazolingana
  • Lazima Tufundishwe
    Mwimbieni Yehova
  • Tembea Pamoja na Mungu!
    Mwimbieni Yehova
  • Tembea Pamoja na Mungu!
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Wimbo Mpya
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
sjj wimbo na. 86

WIMBO NA. 86

Lazima Tufundishwe

Makala Iliyochapishwa

(Isaya 50:4; 54:13)

  1. 1. Njo’ni mjifunze kuhusu Yehova.

    ‘Njo’ni mnywe maji ya uzima.’

    Mafunzo mema yake Yehova.

    Wenye njaa wote watalishwa.

  2. 2. Na mikutano kamwe tusisahau,

    Lazima tufundishwe na Mungu.

    Hapa palipo roho ya Mungu,

    Tunatembea katika nuru.

  3. 3. Nyimbo tuimbazo zatutia moyo!

    Sauti tamu za ndugu zetu!

    Tukutanike na watu Wake.

    Sikuzote tusikosekane.

(Ona pia Ebr. 10:​24, 25; Ufu. 22:17.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki