Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sjj wimbo na. 36
  • Tuulinde Moyo Wetu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tuulinde Moyo Wetu
  • ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Habari Zinazolingana
  • Linda Moyo Wako
    Mwimbieni Yehova
  • Kufanikisha Maisha Yetu
    Mwimbieni Yehova
  • Muujiza wa Uhai
    Mwimbieni Yehova
  • Muujiza wa Uhai
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
sjj wimbo na. 36

WIMBO NA. 36

Tuulinde Moyo Wetu

Makala Iliyochapishwa

(Methali 4:23)

  1. 1. Tuulinde moyo wetu;

    Tuepuke dhambi.

    Mungu husoma mioyo,

    Tulivyo moyoni.

    Moyo ni mdanganyifu;

    Hupotosha wengi.

    Tuulinde moyo wetu;

    Tumtii Mungu.

  2. 2. Moyo tuutayarishe;

    Kupitia sala.

    Yanayotuhangaisha,

    Tujulishe Mungu.

    Twapaswa kutii mambo,

    Atufundishayo.

    Tuwe washikamanifu.

    Tumfurahishe.

  3. 3. Tuulinde moyo wetu;

    Tuwazie mema.

    Neno lipenye moyoni,

    Lituimarishe.

    Yehova anawapenda

    Washikamanifu.

    Tumwabudu siku zote;

    Na awe rafiki.

(Ona pia Zab. 34:1; Flp. 4:8; 1 Pet. 3:4.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki