Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sjj wimbo na. 69
  • Songeni Mbele, Tangazeni Ufalme!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Songeni Mbele, Tangazeni Ufalme!
  • ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Habari Zinazolingana
  • Songeni Mbele, Enyi Wahudumu wa Ufalme!
    Mwimbieni Yehova
  • Haya Mbele, Enyi Wahudumu wa Ufalme!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Songeni Mbele, Enyi Mashahidi
    Mwimbieni Yehova
  • Songeni Mbele, Enyi Mashahidi!
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
sjj wimbo na. 69

WIMBO NA. 69

Songeni Mbele, Tangazeni Ufalme!

Makala Iliyochapishwa

(2 Timotheo 4:5)

  1. 1. Songeni mbele, tangazeni,

    Wote na wasikie.

    Na tusaidie wapole,

    Wajiunge na sisi.

    Utumishi wetu kwa Mungu,

    Kwa kweli ni pendeleo.

    Basi twende tukatangaze,

    Jina tukufu la Mungu.

    (KORASI)

    Songa mbele, tangaza

    Ufalme kwa ujasiri.

    Songa mbele, simama

    upande wake Yehova.

  2. 2. Tunasonga mbele pamoja,

    Tukiwa Mashahidi.

    Wazee, vijana, na wake,

    Sambamba na ukweli.

    Wote wapate kusikia,

    Ujumbe huo muhimu.

    Twamtegemea Yehova,

    Hatuogopi chochote!

    Songa mbele, tangaza

    Ufalme kwa ujasiri.

    Songa mbele, simama

    upande wake Yehova.

(Ona pia Zab. 23:4; Mdo 4:​29, 31; 1 Pet. 2:21.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki