Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sjj wimbo na. 137
  • Wanawake Waaminifu, Dada Wakristo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wanawake Waaminifu, Dada Wakristo
  • ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Habari Zinazolingana
  • Wanawake Waaminifu, Dada Wakristo
    Mwimbieni Yehova
  • Watie Moyo Wanawake Wakristo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2020
  • Je, Unawatendea Wanawake Kama Yehova Anavyowatendea?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2024
  • ‘Wanawake Wenye Bidii Katika Bwana’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
Pata Habari Zaidi
‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
sjj wimbo na. 137

WIMBO NA. 137

Wanawake Waaminifu, Dada Wakristo

Makala Iliyochapishwa

(Waroma 16:2)

  1. 1. Sara, Maria, Ruthu na wengine—

    Washikamanifu, wenye uwezo.

    Waliomwogopa Yehova Mungu.

    Na majina yao tunayajua.

    Kuna wengi kama hao pia,

    Waliokuwa na imani kwa Mungu.

  2. 2. Wema na fadhili na ujasiri;

    Wengi huvutiwa na sifa hizo.

    Wanawake hao twawakumbuka,

    Ambao ni vielelezo bora.

    Kama hao, dada zetu pia,

    Mwastahili sana pongezi na sifa.

  3. 3. Mama, mabinti, wake, na wajane,

    Mnaotimiza mengi kwa shangwe.

    Wenye kiasi na ujitiisho,

    Mungu awapenda, jipeni moyo.

    Yehova na awategemeze.

    Dumuni imara, mtapata tuzo.

(Ona pia Flp. 4:3; 1 Tim. 2:​9, 10; 1 Pet. 3:​4, 5.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki