SANDUKU LA KUFUNDISHIA LA 7A
Mataifa Yaliyozunguka Yerusalemu
karibu 650-300 K.W.K.
MFUATANO WA MATUKIO (MIAKA YOTE NI K.W.K.)
620: Babiloni yaanza kuitawala Yerusalemu
Nebukadneza amfanya mfalme wa Yerusalemu kuwa kibaraka
617: Babiloni wachukua mateka wa kwanza kutoka Yerusalemu
Watawala, mashujaa wenye nguvu, na mafundi wapelekwa Babiloni
607: Babiloni yaharibu Yerusalemu
Jiji lachomwa moto pamoja na hekalu lake
Baada ya 607: Tiro ya nchi kavu
Nebukadneza anashambulia Tiro kwa miaka 13. Anateka Tiro ya nchi kavu lakini jiji lililo kisiwani linabaki
602: Amoni na Moabu
Nebukadneza ashambulia Amoni na Moabu
588: Babiloni yaishinda Misri
Katika mwaka wa 37 wa utawala wake, Nebukadneza anaishambulia Misri
332: Tiro, jiji la kisiwani
Jeshi la Ugiriki likiongozwa na Aleksanda Mkuu linaharibu jiji la kisiwani la Tiro
332 au mapema zaidi: Ufilisti
Aleksanda ashinda Gaza, jiji kuu la Wafilisti
Maeneo Yaliyo Kwenye Ramani
UGIRIKI
BAHARI KUU
(BAHARI YA MEDITERANIA)
TIRO
Sidoni
Tiro
Samaria
Yerusalemu
Gaza
UFILISTI
MISRI
BABILONI
AMONI
MOABU
EDOMU