Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Julai uku. 7
  • Unabii Kuhusu Tiro Unaimarisha Imani Yetu Katika Neno la Yehova

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Unabii Kuhusu Tiro Unaimarisha Imani Yetu Katika Neno la Yehova
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Habari Zinazolingana
  • Yehova Aharibu Kiburi cha Tiro
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
  • Tiro—Ulikuwa Mji Wenye Hila
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1977
  • Je, Wajua?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Mataifa yaliyozunguka Yerusalemu
    Hatimaye Ibada Safi ya Yehova Yarudishwa!
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Julai uku. 7

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | EZEKIELI 24-​27

Unabii Kuhusu Tiro Unaimarisha Imani Yetu Katika Neno la Yehova

Makala Iliyochapishwa

Kitabu cha Ezekieli kilitabiri mambo hususa kuhusu kuharibiwa kwa Tiro.

Ramani ikionyesha jiji la Tiro lililokuwa barani na jiji la kisiwani la Tiro
  • Mfalme Nebukadneza

    26:7-11

    Muda fulani baada ya 607 K.W.K., ni nani aliharibu jiji la Tiro lililokuwa barani?

  • Aleksanda Mkuu

    26:4, 12

    Mnamo 332 K.W.K., ni nani․alitumia magofu ya jiji la Tiro lililokuwa barani kujenga barabara juu ya maji na kuharibu jiji la kisiwani la Tiro?

Ni unabii gani unaotaja mambo hususa ambao unatazamia kuona ukitimizwa?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki