Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • CO-pgm18 kur. 6-7
  • Jumapili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Jumapili
  • Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2018
  • Habari Zinazolingana
  • Jumapili
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2024
  • Jumapili
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2020
  • Jumapili
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2025
  • Jumapili
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2017
Pata Habari Zaidi
Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2018
CO-pgm18 kur. 6-7
Yesu amfufua binti ya Yairo

Jumapili

“Uwe jasiri na uwe na moyo mkuu. Naam, mtumaini Yehova”​—ZABURI 27:14

ASUBUHI

  • 3:20 Video ya Muziki

  • 3:30 Wimbo Na. 73 na Sala

  • 3:40 MFULULIZO: Matukio ya Wakati Ujao Yatakayohitaji Ujasiri

    • Tangazo la “Amani na Usalama!”

    • Kuharibiwa kwa Babiloni Mkubwa (Ufunuo 17:16, 17)

    • Kutangaza Ujumbe Mzito Kama Mvua ya Mawe (Ufunuo 16:21)

    • Shambulizi la Gogu wa Magogu (Ezekieli 38:10-12, 14-16)

    • Har–​Magedoni (Ufunuo 16:14, 16)

    • Kazi Kubwa ya Kujenga Upya (Isaya 65:21)

    • Jaribu la Mwisho (Ufunuo 20:3, 7, 8)

  • 5:10 Wimbo Na. 8 na Matangazo

  • 5:20 HOTUBA YA WATU WOTE: Tumaini la Ufufuo Hutufanya Tuwe Jasiri—Jinsi Gani? (Marko 5:35-42; Luka 12:4, 5; Yohana 5:28, 29; 11:11-14)

  • 5:50 Muhtasari wa Mnara wa Mlinzi

  • 6:20 Wimbo Na. 151 na Mapumziko

Yona anaelekea Ninawi

ALASIRI

  • 7:35 Video ya Muziki

  • 7:45 Wimbo Na. 5

  • 7:50 SINEMA: Hadithi ya Yona—Somo Kuhusu Ujasiri na Rehema (Yona 1-4)

  • 8:40 Wimbo Na. 71 na Matangazo

  • 8:50 Walio Pamoja Nasi Ni Wengi Kuliko Walio Dhidi Yetu! (Kumbukumbu la Torati 7:17, 21; 28:2; 2 Wafalme 6:16; 2 Mambo ya Nyakati 14:9-11; 32:7, 8, 21; Isaya 41:10-13)

  • 9:50 Wimbo wa Mwisho na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki