Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • th somo la 17 uku. 20
  • Habari Inayoeleweka

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari Inayoeleweka
  • Boresha Uwezo Wako wa Kusoma na Kufundisha
  • Habari Zinazolingana
  • Usemi Unaoeleweka
    Faidika na Elimu ya Shule ya Huduma ya Kitheokrasi
  • Kuwaelimisha Wasikilizaji
    Boresha Uwezo Wako wa Kusoma na Kufundisha
  • Shauku
    Boresha Uwezo Wako wa Kusoma na Kufundisha
  • Kutoa Hotuba kwa Njia ya Maongezi
    Boresha Uwezo Wako wa Kusoma na Kufundisha
Pata Habari Zaidi
Boresha Uwezo Wako wa Kusoma na Kufundisha
th somo la 17 uku. 20

SOMO LA 17

Habari Inayoeleweka

Andiko lililotajwa

1 Wakorintho 14:9

MUHTASARI: Wasaidie wasikilizaji waelewe maana ya ujumbe wako.

JINSI YA KUFANYA HIVYO:

  • Jifunze kwa makini habari unayotayarisha. Jitahidi kuelewa kabisa habari ili uweze kuieleza kwa njia rahisi na kwa maneno yako.

  • Tumia sentensi fupi na maneno rahisi. Ingawa unaweza kutumia sentensi ndefu, wasilisha mawazo makuu ukitumia maneno machache na sentensi fupi.

    Dokezo linalofaa

    Ondoa habari zisizohitajika ambazo zinaweza kuwachanganya wasikilizaji au kuwalemea. Jitahidi kutumia maneno ya kawaida badala ya maneno magumu.

  • Fafanua maneno yasiyojulikana. Usitumie maneno mengi ambayo wasikilizaji wako hawayaelewi. Ikiwa ni lazima utumie neno lisilojulikana, mhusika katika Biblia, vipimo au utamaduni wa kale, wafafanulie wasikilizaji mambo hayo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki