Tenda kwa Ujasiri!
ASUBUHI
3:30 Muziki
3:40 Wimbo Na. 73 na Sala
3:50 Yehova Anatufanya Tuwe Jasiri
4:05 Mfululizo: Uwe Jasiri Kama . . .
Enoko
Musa
Yehoshafati
Petro
5:05 Wimbo Na. 69 na Matangazo
5:15 Jipe Ujasiri Katika Huduma
5:30 Wakfu na Ubatizo
6:00 Wimbo Na. 48
ALASIRI
7:10 Muziki
7:20 Wimbo Na. 63 na Sala
7:30 Hotuba ya Watu Wote: Chukua Msimamo Upande wa Ibada Safi
8:00 Muhtasari wa Mnara wa Mlinzi
8:30 Wimbo Na. 76 na Matangazo
8:40 Mfululizo: Iga Ujasiri wa Kristo Unaposhinikizwa
Katika Familia
Shuleni
Kazini
Katika Jamii
9:40 “Utathawabishwa Sana” kwa Ujasiri Wako
10:15 Wimbo Na. 119 na Sala