Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • CO-pgm19 kur. 6-7
  • Jumapili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Jumapili
  • Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2019
  • Habari Zinazolingana
  • Jumapili
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2020
  • Jumapili
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2024
  • Jumapili
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2017
  • Jumapili
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2025
Pata Habari Zaidi
Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2019
CO-pgm19 kur. 6-7
Mfalme Yosia akisoma kitabu cha kukunjwa

Jumapili

“MWENDELEE KUJITUNZA KATIKA UPENDO WA MUNGU”​—YUDA 21

ASUBUHI

  • 3:20 Video ya Muziki

  • 3:30 Wimbo Na. 106 na Sala

  • 3:40 MFULULIZO: Kumbuka Jinsi Upendo Ulivyo

    • Ni Wenye Subira na Fadhili (1 Wakorintho 13:4)

    • Hauna Wivu na Haujigambi (1 Wakorintho 13:4)

    • Haujivuni na Haujiendeshi Bila Adabu (1 Wakorintho 13:4, 5)

    • Hautafuti Faida Zake Wenyewe na Hauchokozeki (1 Wakorintho 13:5)

    • Hauweki Hesabu ya Ubaya na Haushangilii Ukosefu wa Uadilifu (1 Wakorintho 13:5, 6)

    • Hushangilia Pamoja na Kweli na Huhimili Mambo Yote (1 Wakorintho 13:6, 7)

    • Huamini Mambo Yote na Hutumaini Mambo Yote (1 Wakorintho 13:7)

    • Huvumilia Mambo Yote; Upendo Haushindwi Kamwe (1 Wakorintho 13:7, 8)

  • 5:10 Wimbo Na. 150 na Matangazo

  • 5:20 HOTUBA YA WATU WOTE: Upendo wa Kweli Katika Ulimwengu Uliojaa Chuki—Unapatikana Wapi? (Yohana 13:34, 35)

  • 5:50 Muhtasari wa Mnara wa Mlinzi

  • 6:20 Wimbo Na. 1 na Mapumziko

ALASIRI

  • 7:35 Video ya Muziki

  • 7:45 Wimbo Na. 124

  • 7:50 SINEMA: Simulizi la Yosia: Mpende Yehova; Chukia Mabaya—Sehemu ya 2 (2 Wafalme 22:3-20; 23:1-25; 2 Mambo ya Nyakati 34:3-33; 35:1-19)

  • 8:20 Wimbo “Nipe Ujasiri” na Matangazo

  • 8:30 ‘Tafakari kwa Makini Matendo ya Yehova ya Upendo Mshikamanifu’ (Zaburi 107:43; Waefeso 5:1, 2)

  • 9:30 Wimbo Mpya Uliotungwa na Sala ya Mwisho

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki