Marafiki wa Amani
Asubuhi
3:40 Muziki
3:50 Wimbo Na. 58 na Sala
4:00 Karibuni, Marafiki wa Amani!
4:15 Endelea Kuwatafuta Marafiki wa Amani
4:30 Mruhusu Mkuu wa Amani Akusaidie Kupata Marafiki wa Amani
4:55 Wimbo Na. 103 na Matangazo
5:05 Marafiki wa Amani Hawatajifunza Vita Tena Kamwe
5:35 Wakfu na Ubatizo
6:05 Wimbo Na. 79
Alasiri
7:20 Muziki
7:30 Wimbo Na. 76
7:35 Mambo Yaliyoonwa
7:45 Muhtasari wa Mnara wa Mlinzi
8:15 Mfululizo: Marafiki wa Amani Husaidiana
• “Fungueni Kabisa Mioyo Yenu”
• Wasaidie Vijana Wafikie Malengo Yao
• Waheshimu Waliozeeka
9:00 Wimbo Na. 57 na Matangazo
9:10 Jinsi Marafiki wa Amani Wanavyoshinda Uovu kwa Wema
9:55 Wimbo Na. 45 na Sala