Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w78 10/15 uku. 19
  • Pendekezo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Pendekezo
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1978
  • Habari Zinazolingana
  • Kushinda Vipingamizi kwa Kuweka Miradi
    Amkeni!—2001
  • “Waliniambia Singetembea Tena Kamwe!”
    Amkeni!—1991
  • Uwe Mnyofu Katika Mambo Yote
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
  • Kutukuza Amani Badala ya Vita
    Amkeni!—2001
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1978
w78 10/15 uku. 19

Pendekezo

Mmoja wa Mashahidi wa Yehova katika Ohio, (U.S.A.) aliripoti haya yaliyoonwa: “Siku moja msimamizi wa idara katika kiwanda ambacho katika hicho ninafanya kazi alikuwa na haya ya kusema kwa wale walioko katika idara yangu kuhusu mimi: ‘Bill B. . . . ndiye mfanya kazi peke yake aliye mwaminifu katika idara yangu, na ni yeye peke yake ninayeweza kuamini.’ Wakati fulani baadaye, alipojua kwamba mimi ni mmoja wa Mashahidi wa Yehova, alichukua wakati azungumze na watu hao juu ya kuvalia vizuri, uaminifu na kufanya kazi ya siku nzima kwa uaminifu. Maneno yake ya kumalizia yalikuwa haya: ‘Labda ninyi nyote mnahitaji kuwa washiriki wa dini ya Bill B. . . . kisha huenda nyote mkafanya vizuri zaidi.’”

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki